Tariq f
JF-Expert Member
- Dec 11, 2021
- 233
- 347
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mpambanaji, ndio naanza maisha ya utafutaji wa ridhki kiukweli sina asseti yeyote ya maana labda kitanda, godoro, feni na pasi ndo nilivyonavyo.
Naomba kuuliza kuwa ni microfinance ipi au taasisi ipi inaweza kunipatia mkopo wa riba nafuu kwa ajili ya kufanya biashara.
Maana nimekwama wakuu.