Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
Pole, ila nadhani ingekuwa rahisi na busara zaidi kama pia ungesema uko wapi, sabu yeyote yule aliyeko kwenye hii dunia anaweza soma, ila ninaamini ni wachache sana watakuwa na uwezo wa kutabiri ulipo ili pengine wakutajie hao maspecialists wa magonjwa ya ngozi walio karibu nawe.Mwanangu anatatizo la ugonjwa wa ngozi. Ametoka vipele kama vya tetekuwanga . Vilianza mabegani naona sasa vinasambaa mwili mzima. Vinavimba kama uvimbe wa mtu aliungua na moto baadas vinapasuka na kutoa majimaji.
Kila dawa anazopewa naona hazisaidii. Amechomaa sindano naona nazo hakuna kitu.msaada wa anaemjua specialist wa ngozi anaeweza kumtibu mwanangu.
Napatikana DaresalaamPole, ila nadhani ingekuwa rahisi na busara zaidi kama pia ungesema uko wapi, sabu yeyote yule aliyeko kwenye hii dunia anaweza soma, ila ninaamini ni wachache sana watakuwa na uwezo wa kutabiri ulipo ili pengine wakutajie hao maspecialists wa magonjwa ya ngozi walio karibu nawe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Napatikana Daresalaam
Nimeenda manyara regional hospita hawana dermatologistSipo Dar na pia hakuna specialist ninayemfahamu personally, ila ninachokifahamu ni kuwa ukienda hospitali yoyote ile angalau ya kuanzia ngazi ya wilaya unaweza kupata dermatologist, pia private hospital kubwa nyingi zina dermatologists, kikubwa achana na dispensaries.
Nadhani utapata unaweza pata wadau walioko Dar wakakutajia hospitali kwa majina na sehemu zilipo.
Sent using Jamii Forums mobile app