Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
Mwanangu anatatizo la ugonjwa wa ngozi. Ametoka vipele kama vya tetekuwanga . Vilianza mabegani naona sasa vinasambaa mwili mzima. Vinavimba kama uvimbe wa mtu aliungua na moto baadas vinapasuka na kutoa majimaji.
Kila dawa anazopewa naona hazisaidii. Amechomaa sindano naona nazo hakuna kitu.msaada wa anaemjua specialist wa ngozi anaeweza kumtibu mwanangu.
Nipo Dar es salaam
Kila dawa anazopewa naona hazisaidii. Amechomaa sindano naona nazo hakuna kitu.msaada wa anaemjua specialist wa ngozi anaeweza kumtibu mwanangu.
Nipo Dar es salaam