Patrick2000
Member
- May 29, 2021
- 10
- 15
Habari ya muda huu wadau, nawezaje kupata huduma ya kupima DNA ni wapi ntapata huduma na ni bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza itakubidi upitie mahakamani/ mwanasheria, then baada ya hapo utaenda mamlaka ya maabara ya mkemia mkuu wa serikali utapata hiyo huduma.Habari ya muda huu wadau,nawezaje kupata huduma ya kupima DNA ni wapi ntapata huduma na ni bei gani??
Utaratibu ni kuwa wanaopima ni ofisi ya mkemia mkuu wa serikali na kuna fomu zinatakiwa kujazwa za wa husika na lazima zipitishwe na mwanasheria kila watu wawili nikama 400000 unasubiri baada ya muda then majibu yanakuwa tayariHabari ya muda huu wadau,nawezaje kupata huduma ya kupima DNA ni wapi ntapata huduma na ni bei gani??
Habari ya muda huu wadau, nawezaje kupata huduma ya kupima DNA ni wapi ntapata huduma na ni bei gani?
Hapo ndio utajua kwann kiwanda cha mshumaa kinatumia umemeumeibiwa nini ! maana unaweza kukuta watoto si wako!,na baba yako naye kumbe mwengine