Bengoldstar
Member
- Apr 24, 2022
- 67
- 47
Habari wana JamiiForums,
Mimi ninahitaji sehemu ya uhakika ambapo nitakuwa na uhakika wa kupata Mercury nyeupe kwa ajili ya matumizi ya machimboni kutumika kwenye dhahabu.
Nimejaribu kufuatilia dealers wanaouza lakini sipati wa uhakika hivyo basi naomba kama kuna dealer humu au mwenye connection ya muuzaji yeyote naomba anijuze.
Bidhaa ndo kama hiyo hapo chini.
Karibuni sana kwa mchango.