Ni wapi nitapata mercury ya kununua?

Ni wapi nitapata mercury ya kununua?

Bengoldstar

Member
Joined
Apr 24, 2022
Posts
67
Reaction score
47
Habari wana JamiiForums,

Mimi ninahitaji sehemu ya uhakika ambapo nitakuwa na uhakika wa kupata Mercury nyeupe kwa ajili ya matumizi ya machimboni kutumika kwenye dhahabu.

Nimejaribu kufuatilia dealers wanaouza lakini sipati wa uhakika hivyo basi naomba kama kuna dealer humu au mwenye connection ya muuzaji yeyote naomba anijuze.

Bidhaa ndo kama hiyo hapo chini.

Karibuni sana kwa mchango.

20230707_074947.jpg
20230707_075006.jpg
 
View attachment 2681869View attachment 2681870
Tatizo mercury ni biashara iliyohusishwa na Utapeli kwa miaka mingi sana, kiasi kwamba mtu yeyote mwenye akili hataki kabisa kusikia habari za mercury.

Labda kwa kukusaidia mgodini unataka kutumia kwa kazi gani tukushauri mbadala wa mercury maana hapo unatafuta kutapeliwa au kutapeli watu.
 
Mimi ninaihitaji kwa ajili ya kuuza tu maana inahitajika. Mm ninacheti cha mkemia na ninauza ki halali sio janja janja
 
Umekuja kupepeleleza ili ukamate watu wakupe rushwa si ndio nani alikwambia ukiwa na leseni tu unauza hiyo bizaaa ujui huo ni msala z
 
Sio kweli ondoa hizo fikra , kwan huamin kama mercury zipo nchini?
 
Zipo ila ujui bila kibali cha mkemia mkuu wa serikali ukikamatwa nayo ni kosa la jinai haya ukipata kibali utasema unaipeleka wapi maana ilipigwa marufuku kuuzwa hotels kwasababu ya matumizi ambayo unayataka
 
Back
Top Bottom