Kama una muda uje Kwa baba yangu akupe darasa yupo Kigamboni, amefanya kilimo cha Nazi /minazi kwa muda wa miaka 20 na zaidi mpaka sasa Ana uzoefu Mkubwa na ninaona inampatia pesa ya kutosha.
Pia miche au mbegu zake utapata hata kwa wauza miche /mbegu
Nazi fupi siyo Kwa ajili ya madafu tuu.
Sent using
Jamii Forums mobile app