Ni wapi nitapata Miche ya minazi mbegu fupi?

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Wasalaam Wana jf,nahitaji kujua kilimo Cha hizo Nazi fupi Kama zinakomaa au Ni za kuliwa madafu tu ?
Na je Ni wapi kwa hapa dar nitapata Miche na bei gani?
Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una muda uje Kwa baba yangu akupe darasa yupo Kigamboni, amefanya kilimo cha Nazi /minazi kwa muda wa miaka 20 na zaidi mpaka sasa Ana uzoefu Mkubwa na ninaona inampatia pesa ya kutosha.

Pia miche au mbegu zake utapata hata kwa wauza miche /mbegu

Nazi fupi siyo Kwa ajili ya madafu tuu.

Number yangu 0755404226 niunganishe naye mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom