Ni wapi nitaweza kupata huduma ya DNA test Tanzania?

Mi siwezi pima hyo kitu
Itauma sana kufikiri mtoto si wako afu waenda na unakuta ni wako pure itakuuuma sana na hata huyo mtoto akijua atamind sana
Mama yake pia itamuuma maana itaonesha humuamini

Sio lazima sisi kama baba tufanane na hao watoto
apana aisee kwa mfano mimi na mama yake ni weusi tii mtoto kazaliwa ni mweupe hatari anakaribia na ushombe shombe kabisa hapo ipoje?
 
apana aisee kwa mfano mimi na mama yake ni weusi tii mtoto kazaliwa ni mweupe hatari anakaribia na ushombe shombe kabisa hapo ipoje?
Kuna topic moja ya heredity kwenye biology ya o level, ni theory za Dr. Mendel. Soma kidogo itakusaidia kujua undani wa huo mfano.
 
Shida ni kulea mtoto asiye wako na sio mtoto kulelewa na Baba asiye wake.
 
[/QUOTE]
Mkuu heshima yako,naomba kuuliza hizo sample ulituma vipi?? utaratibu unakuwaje na gharama za vipimo kwa huko U.K zipo vipi? je kuna gharama za kusafirisha hizo samples
Tafadhali naomba ufafanuzi-nina shida na hii kitu sana
 
Mkuu heshima yako,naomba kuuliza hizo sample ulituma vipi?? utaratibu unakuwaje na gharama za vipimo kwa huko U.K zipo vipi? je kuna gharama za kusafirisha hizo samples
Tafadhali naomba ufafanuzi-nina shida na hii kitu sana[/QUOTE]

Nilitumia pamba za masikioni nika lable moja jina langu nyingine jina la mtoto, nikatuma kam ka percel tu ka kawaida kwa dhl, ili cost kama tsh 50,000 kutuma na gharama ya DNA kama pound 220 ambayo nilaki 5'
 
Mkuu heshima yako,naomba kuuliza hizo sample ulituma vipi?? utaratibu unakuwaje na gharama za vipimo kwa huko U.K zipo vipi? je kuna gharama za kusafirisha hizo samples
Tafadhali naomba ufafanuzi-nina shida na hii kitu sana

Nilitumia pamba za masikioni nika lable moja jina langu nyingine jina la mtoto, nikatuma kam ka percel tu ka kawaida kwa dhl, ili cost kama tsh 50,000 kutuma na gharama ya DNA kama pound 220 ambayo nilaki 5'[/QUOTE]
Nashukuru kaka,nitakutafuta
 
Za jion Mkuu. Naomba Cntact za hao jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…