kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
apana aisee kwa mfano mimi na mama yake ni weusi tii mtoto kazaliwa ni mweupe hatari anakaribia na ushombe shombe kabisa hapo ipoje?Mi siwezi pima hyo kitu
Itauma sana kufikiri mtoto si wako afu waenda na unakuta ni wako pure itakuuuma sana na hata huyo mtoto akijua atamind sana
Mama yake pia itamuuma maana itaonesha humuamini
Sio lazima sisi kama baba tufanane na hao watoto