Ni wapi nitoe taarifa hii?

Satumbo

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
77
Reaction score
5
habari zenu wadau! ebu nisaidieni kuna mtu anatumia vyeti visivyo vyake na ana majigambo saana. so taarifa zake nipeleke wapi kwa hatua zaidi za kisheria?
 
vyeti vya aina gani unazungumzia?? Kama ni vya kitaaluma na umethibisha kwamba yeye siyo mmiliki halali wa vyeti hivyo karipoti polisi maana hiyo ni criminal case!!

Hata kama alikuwa hajigambi bado anastahili kuadhibiwa kisheria,..
 
kuwa makini.....lisije kukugeuka wewe............
 
vyeti vya aina gani unazungumzia?? Kama ni vya kitaaluma na umethibisha kwamba yeye siyo mmiliki halali wa vyeti hivyo karipoti polisi maana hiyo ni criminal case!!

Hata kama alikuwa hajigambi bado anastahili kuadhibiwa kisheria,..

Baada ya polisi,Nakala hapa JF!
Binafsi nachukia uovu,watu wanahangaika wanasoma kwa taabu alafu kazi linapata lijamaa limekaa tu linaletewa vyeti hm
 
Mbona heading inajichanganya?
Hii ni tetesi au habari?
 
habari zenu wadau! ebu nisaidieni kuna mtu anatumia vyeti visivyo vyake na ana majigambo saana. so taarifa zake nipeleke wapi kwa hatua zaidi za kisheria?

Nenda Polisi au Utumishi. Binafsi sipendi hiyo tabia na unaweza mkuta anakula mshahara mkubwa kuliko wengine na ndio maana ana majigambo sana. Wengine wamekesha wakati wa kusoma ndio maana dharau nyingi. Siwapendi sana. Angalizo unapotoa taarifa usitoe na jina lako.
 
Mlete kwangu nthtbitshe. Tupia humu ndani jina lake halisi na hlo la kwenye cheti. ---- sana huyo.anaiba vyeti halaf anajitapa. Shenzy
 
Kama wewe unavyotumia nick name ambalo si lako!
 
Umbea huo anavyeti(fake) sasa we ushangaa nini kama elimu yenyewe ni fake viongozi fake walimu fake necta wanatoa matokeo fake ,hapa ningoma droo mwache ajinadi huenda unae mpelekea taarifa nae anavyeti fake sasa sijui utakuwa umefanya nini.
 
Unammaanisha yule Naibu Waziri Mtoto wa Waziri mkuu wa Zamani au Lameck Nchemba?
 
habari zenu wadau! ebu nisaidieni kuna mtu anatumia vyeti visivyo vyake na ana majigambo saana. so taarifa zake nipeleke wapi kwa hatua zaidi za kisheria?

leta jina lake halis!!ila cikuhz hapa jamvin napaogopa sna!!ushingae issue yako ikavuja na ukajulikana
 
sidhani kama ni sahiimkuu kama itakuwa haina madhara kwako zaidi ya majigambo!
 
Ni jambo zuri kuwa mzalendo kwa Nchi yako. Fahamu taasisi iliyotoa vyeti hivyo mfano. NACTE, UNIVERSITY, NECTA then andika taarifa kamili, usiandike jina lako wala chochote kitakachokutambulisha then tuma/peleka kwa taasisi husika nakala wape usalama wa taifa au utumishi.
 
Kua specific bwn vyet vya aina gan? ila kma nivya taluma vipo vyombo na ngaz husika za kufuata ila 2 uwe na uha kika yasije kukugeuka mwenyewe!!!!
 
Umbea huo anavyeti(fake) sasa we ushangaa nini kama elimu yenyewe ni fake viongozi fake walimu fake necta wanatoa matokeo fake ,hapa ningoma droo mwache ajinadi huenda unae mpelekea taarifa nae anavyeti fake sasa sijui utakuwa umefanya nini.

Nitamtafuta acye na vyeti fake
 
Mlete kwangu nthtbitshe. Tupia humu ndani jina lake halisi na hlo la kwenye cheti. ---- sana huyo.anaiba vyeti halaf anajitapa. Shenzy

Jina ni josephat charles ni mwalimu ana2mia vyeti vya kaka yake ambaye ni afisa u2mishi mkoa wa kagera alisoma PUBLIC ADMINISTRATION & POLITICAL SCIENCE -UDSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…