Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari zenu wadau! ebu nisaidieni kuna mtu anatumia vyeti visivyo vyake na ana majigambo saana. so taarifa zake nipeleke wapi kwa hatua zaidi za kisheria?
vyeti vya aina gani unazungumzia?? Kama ni vya kitaaluma na umethibisha kwamba yeye siyo mmiliki halali wa vyeti hivyo karipoti polisi maana hiyo ni criminal case!!
Hata kama alikuwa hajigambi bado anastahili kuadhibiwa kisheria,..
habari zenu wadau! ebu nisaidieni kuna mtu anatumia vyeti visivyo vyake na ana majigambo saana. so taarifa zake nipeleke wapi kwa hatua zaidi za kisheria?
habari zenu wadau! ebu nisaidieni kuna mtu anatumia vyeti visivyo vyake na ana majigambo saana. so taarifa zake nipeleke wapi kwa hatua zaidi za kisheria?
Umbea huo anavyeti(fake) sasa we ushangaa nini kama elimu yenyewe ni fake viongozi fake walimu fake necta wanatoa matokeo fake ,hapa ningoma droo mwache ajinadi huenda unae mpelekea taarifa nae anavyeti fake sasa sijui utakuwa umefanya nini.
Mlete kwangu nthtbitshe. Tupia humu ndani jina lake halisi na hlo la kwenye cheti. ---- sana huyo.anaiba vyeti halaf anajitapa. Shenzy