ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,021
- 1,978
salaam kwenu!
kwa yeyote mwenye kufaham kuhusu upatikanaji wa makoti ya kidaktari(clinical coats) kwa dar es salaam. naomba anifahamishe nikanunue coz jumatatu mola akipenda naripoti chuoni
mola awabariki wote

nilipangiwa bumbuli clinical officer kutokana na ada kuwa kubwa nkaomba nacte wanibadirishie now wamenipangia city college of health and allied science
Nenda MUHAS kuna mafundi kibao pale, watakushonea kwa bei ya ki - uanafunzi.
Wale asiguse, atalichukua mwakani! Labda kama wamebadilika siku hizi.