Ni wapi ntapata makoti ya kidaktari kwa Dar es Salaam

Ni wapi ntapata makoti ya kidaktari kwa Dar es Salaam

Kila la kheri, Katie kitabu ututibu.. Koti nenda kashone kwa Fundi
 
salaam kwenu!
kwa yeyote mwenye kufaham kuhusu upatikanaji wa makoti ya kidaktari(clinical coats) kwa dar es salaam. naomba anifahamishe nikanunue coz jumatatu mola akipenda naripoti chuoni

mola awabariki wote

Ebu nenda kwa muuza bucha yoyote mulize lake alipatia wapi?
 
makoti wanashona kwa fundi.... kama mmeambuwa muende nayo basi we nunua kitambaa mpelekee fundi
 
nilipangiwa bumbuli clinical officer kutokana na ada kuwa kubwa nkaomba nacte wanibadirishie now wamenipangia city college of health and allied science

Ada ni kiasi gani.?

But chuo cha Bumbuli kipo safi sana mazingira yake .na hapo hapo kuna hospitali kubwa tu so ungepata uzoefu mzuri sana wa fani yako .
 
Hongera mkuu,nenda pale Muhimbili chuo wanayauza kwa bei nzuri

Kazana sana ..kitu kimefika kwenye 1.48M hivi bila makato
 
koti la nin! dogo mwaka wa kwanza wewe wodini utafanya nin? utafanya hayo mambo semister two saiz nenda tu
HATA BP MACHINE
stethoscope havina kaz we nenda kwanza hakuna iyo kitu semister one
 
Back
Top Bottom