Ni wapi ntauza iriki yangu?

Ni wapi ntauza iriki yangu?

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
475
Wadau nina iriki natafuta soko kwa anayehitaji

"To know the enemy is half the victory"
 
Taja bei mkuu kilo sh ngapi?na ya wapi?maana kuna ya green pia
 
Naomba ubadili isomeke "iliki" badaya ya "iriki".
Asante mkuu mi nashida sana na hizi R&L


"To know the enemy is half the victory"
 
Taja bei mkuu kilo sh ngapi?na ya wapi?maana kuna ya green pia

Kilo moja nauza kwa 25,000/= mkuu unahitaji kilo ngapi hii ni ya ugweno mkuu

"To know the enemy is half the victory"
 
Back
Top Bottom