Pre GE2025 Ni wapi rais Samia anapata pesa za kugawagawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. Anachotewa Hazina kama njugu tu!
2. Mikopo huwa ni kwa ajili ya migawo tu lengo ni 2025
3. Waarabu wamepania kulinunua litanganyika na mambuga yake, madini yake, maji yake, milima yake na kila kitu. Wanampa kila kitu! mtashuhudia chopper mpya zinaruka kwenye kampeni subirini! Kuna chawa makandarasi walisetiwa wakaivaa ni uwongo. Mwendo wa yale mapikipiki, mabaiskeli, magari mapya polisi SUBIRINI. Tanganyika Gulioni!
Umemaliza Kila kitu
 
Mi nashindwa kuelewa rais anapata wapi pesa za kugawa kwa marafiki, jamaa, viongozi wa dini, wasanii, na machawa wake

Nasema hivyo kwasababu niliona juzi kamnunulia kiongozi wa dini moja hivi gari ya milioni 100

Tuliona anavyomwaga pesa kule kwa mwamposa na nabii Suguye

Mara akampelekea rafiki yake mwimba taarab mwanahawa ally milioni 10 pamoja na kumuandalia Tamasha la mamilioni

Mara katoa hela yake kagawa bodaboda za bilioni 64.
Huyu huyu rais hizi pesa za kugawagawa anatoa wapi?Msije mkanijibu rais ana marafiki, msije mkanijibu ni mshahara wake.

Kama ni pesa za umma huu ni ufisadi na Rushwa, haiwezekani mapesa yote hayo anayagawa tu mara kununua magoli.

Rais Samia angepungukiwa na nini hizo fedha anazomwaga angewekeza kwenye miradi ya wananchi wake kwa mfano?

Hayo mapesa yangetosha kuchimba visima vingi tu kumaliza kero za maji

Yangenunua madawati ya kutosha tu

Yangeboresha huduma kwenye vituo vya afya

Maeneo mengi tu Dar es Sallam kuna shida za maji kuna sehem zimeinuka huko maji huwa hayapandi, kwanini asingewapelekea visima kama kweli ana nia?

Kuna watu wanateseka kuyafata maji kilometa kadhaa halafu rais anagawagawa hela za kununua magoli si matumizi mabaya ya pesa za umma haya?
Ni fedha zetu wanatumia hovyo kisiasa.
 
Watakuelewa? Nchi hii ni ya hovyo sana!
 
Lucas Mwashambwa ukuje huku
 
Habari ya kugawa pesa, tena cash ilianza awamu ya tano na inaendelea.
Pesa za uma pia zilibinafsishwa kwa Rais kuanzia wakati huo huo.
Unatakiwa ujiulize na kutafakari haya kwanza kama msingi wa mengine yotokanayo.
 
Back
Top Bottom