Umemaliza Kila kitu1. Anachotewa Hazina kama njugu tu!
2. Mikopo huwa ni kwa ajili ya migawo tu lengo ni 2025
3. Waarabu wamepania kulinunua litanganyika na mambuga yake, madini yake, maji yake, milima yake na kila kitu. Wanampa kila kitu! mtashuhudia chopper mpya zinaruka kwenye kampeni subirini! Kuna chawa makandarasi walisetiwa wakaivaa ni uwongo. Mwendo wa yale mapikipiki, mabaiskeli, magari mapya polisi SUBIRINI. Tanganyika Gulioni!
Ni fedha zetu wanatumia hovyo kisiasa.Mi nashindwa kuelewa rais anapata wapi pesa za kugawa kwa marafiki, jamaa, viongozi wa dini, wasanii, na machawa wake
Nasema hivyo kwasababu niliona juzi kamnunulia kiongozi wa dini moja hivi gari ya milioni 100
Tuliona anavyomwaga pesa kule kwa mwamposa na nabii Suguye
Mara akampelekea rafiki yake mwimba taarab mwanahawa ally milioni 10 pamoja na kumuandalia Tamasha la mamilioni
Mara katoa hela yake kagawa bodaboda za bilioni 64.
Huyu huyu rais hizi pesa za kugawagawa anatoa wapi?Msije mkanijibu rais ana marafiki, msije mkanijibu ni mshahara wake.
Kama ni pesa za umma huu ni ufisadi na Rushwa, haiwezekani mapesa yote hayo anayagawa tu mara kununua magoli.
Rais Samia angepungukiwa na nini hizo fedha anazomwaga angewekeza kwenye miradi ya wananchi wake kwa mfano?
Hayo mapesa yangetosha kuchimba visima vingi tu kumaliza kero za maji
Yangenunua madawati ya kutosha tu
Yangeboresha huduma kwenye vituo vya afya
Maeneo mengi tu Dar es Sallam kuna shida za maji kuna sehem zimeinuka huko maji huwa hayapandi, kwanini asingewapelekea visima kama kweli ana nia?
Kuna watu wanateseka kuyafata maji kilometa kadhaa halafu rais anagawagawa hela za kununua magoli si matumizi mabaya ya pesa za umma haya?
Naam, umeniita?
Kipenzi chetu anatukanwa hukuNaam, umeniita?
Tatizo nini?
Hata waliomtangulia walifanya hivyo hivyo !Mkuu hizo ni kodi zetu anachota tu hapo hazina.
Sema uzi hauendi unatafuta kiki.Kipenzi chetu anatukanwa huku
Ahahaaa dah aiseeSema uzi hauendi unatafuta kiki.
Watakuelewa? Nchi hii ni ya hovyo sana!Mi nashindwa kuelewa rais anapata wapi pesa za kugawa kwa marafiki, jamaa, viongozi wa dini, wasanii, na machawa wake
Nasema hivyo kwasababu niliona juzi kamnunulia kiongozi wa dini moja hivi gari ya milioni 100
Tuliona anavyomwaga pesa kule kwa mwamposa na nabii Suguye
Mara akampelekea rafiki yake mwimba taarab mwanahawa ally milioni 10 pamoja na kumuandalia Tamasha la mamilioni
Mara katoa hela yake kagawa bodaboda za bilioni 64.
Huyu huyu rais hizi pesa za kugawagawa anatoa wapi?Msije mkanijibu rais ana marafiki, msije mkanijibu ni mshahara wake.
Kama ni pesa za umma huu ni ufisadi na Rushwa, haiwezekani mapesa yote hayo anayagawa tu mara kununua magoli.
Rais Samia angepungukiwa na nini hizo fedha anazomwaga angewekeza kwenye miradi ya wananchi wake kwa mfano?
Hayo mapesa yangetosha kuchimba visima vingi tu kumaliza kero za maji
Yangenunua madawati ya kutosha tu
Yangeboresha huduma kwenye vituo vya afya
Maeneo mengi tu Dar es Sallam kuna shida za maji kuna sehem zimeinuka huko maji huwa hayapandi, kwanini asingewapelekea visima kama kweli ana nia?
Kuna watu wanateseka kuyafata maji kilometa kadhaa halafu rais anagawagawa hela za kununua magoli si matumizi mabaya ya pesa za umma haya?
Lucas Mwashambwa ukuje hukuMi nashindwa kuelewa rais anapata wapi pesa za kugawa kwa marafiki, jamaa, viongozi wa dini, wasanii, na machawa wake
Nasema hivyo kwasababu niliona juzi kamnunulia kiongozi wa dini moja hivi gari ya milioni 100
Tuliona anavyomwaga pesa kule kwa mwamposa na nabii Suguye
Mara akampelekea rafiki yake mwimba taarab mwanahawa ally milioni 10 pamoja na kumuandalia Tamasha la mamilioni
Mara katoa hela yake kagawa bodaboda za bilioni 64.
Huyu huyu rais hizi pesa za kugawagawa anatoa wapi?Msije mkanijibu rais ana marafiki, msije mkanijibu ni mshahara wake.
Kama ni pesa za umma huu ni ufisadi na Rushwa, haiwezekani mapesa yote hayo anayagawa tu mara kununua magoli.
Rais Samia angepungukiwa na nini hizo fedha anazomwaga angewekeza kwenye miradi ya wananchi wake kwa mfano?
Hayo mapesa yangetosha kuchimba visima vingi tu kumaliza kero za maji
Yangenunua madawati ya kutosha tu
Yangeboresha huduma kwenye vituo vya afya
Maeneo mengi tu Dar es Sallam kuna shida za maji kuna sehem zimeinuka huko maji huwa hayapandi, kwanini asingewapelekea visima kama kweli ana nia?
Kuna watu wanateseka kuyafata maji kilometa kadhaa halafu rais anagawagawa hela za kununua magoli si matumizi mabaya ya pesa za umma haya?
Habari ya kugawa pesa, tena cash ilianza awamu ya tano na inaendelea.Mi nashindwa kuelewa rais anapata wapi pesa za kugawa kwa marafiki, jamaa, viongozi wa dini, wasanii, na machawa wake
Nasema hivyo kwasababu niliona juzi kamnunulia kiongozi wa dini moja hivi gari ya milioni 100
Tuliona anavyomwaga pesa kule kwa mwamposa na nabii Suguye
Mara akampelekea rafiki yake mwimba taarab mwanahawa ally milioni 10 pamoja na kumuandalia Tamasha la mamilioni
Mara katoa hela yake kagawa bodaboda za bilioni 64.
Huyu huyu rais hizi pesa za kugawagawa anatoa wapi?Msije mkanijibu rais ana marafiki, msije mkanijibu ni mshahara wake.
Kama ni pesa za umma huu ni ufisadi na Rushwa, haiwezekani mapesa yote hayo anayagawa tu mara kununua magoli.
Rais Samia angepungukiwa na nini hizo fedha anazomwaga angewekeza kwenye miradi ya wananchi wake kwa mfano?
Hayo mapesa yangetosha kuchimba visima vingi tu kumaliza kero za maji
Yangenunua madawati ya kutosha tu
Yangeboresha huduma kwenye vituo vya afya
Maeneo mengi tu Dar es Sallam kuna shida za maji kuna sehem zimeinuka huko maji huwa hayapandi, kwanini asingewapelekea visima kama kweli ana nia?
Kuna watu wanateseka kuyafata maji kilometa kadhaa halafu rais anagawagawa hela za kununua magoli si matumizi mabaya ya pesa za umma haya?
Zinatengwa na bunge.Chanzo cha pesa za mfuko huo ni kipi?