Nadhani na yeye atakuwa amepatwa na kizunguzungu hadi akapotea.Huyu mwanadada wa Bongo Fleva aliyewika kwa wimbo wake wa kizunguzungu,upepo,umependeza,nashukuru umerudi yuko wapi ?
Kwa mwenye kufahamu alipo na anafanya nini aseme nimemiss sana uwepo wake katika muziki wa bongo fleva.
Dah wanavyofanywa wasanii na clouds mungu anawaonaHebu weka wazi hili (umeandika mafumbo)
dah!!! Asante mkuu kwa ufafanuzi.Yule alikuwa wa bongo movie, huyu naemzungumzia ni wa bongo fleva
[emoji15] [emoji15] [emoji15] sio kweliSi nilisikiaga eti huyu dada alikufaga au..!!![emoji102] [emoji102] [emoji102]
Niko huku kijiji cha Nyankende nalima viazi ila sijajua ni Mkoa gani.upo mkoa gani mkuu...?
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] daahhMnamtaka wife wa nini?Saivi zamu yangu kula mauno,mlizoea mnaenda kwenye show kucheki viuno mkirudi majumbani mwenu mnamvutia hisia mkiwa na soap!Sasa nimemfungia ndani,"sipendagi ujinga mimi"
Wee kweli????? Uwiiiteja sasa hivi
basi ukiuza hivyo viazi nunua redio usikilize ili ujue upo mkoa ganiNiko huku kijiji cha Nyankende nalima viazi ila sijajua ni Mkoa gani.
Shikamoo ice mad 3dTatizo huyu Recho alikuwa ana mpenda sana Ray C sasa inaonekana wanatembelea nyota moja now.
Ila sauti yake nilikuwa naikubali sana, hapa bwana Ruge alivumbua kipaji kwa kweli
UwiiiiiSi nilisikiaga eti huyu dada alikufaga au..!!![emoji102] [emoji102] [emoji102]
Recho asingeweza kufa,alikuwa mjanja sanSi nilisikiaga eti huyu dada alikufaga au..!!![emoji102] [emoji102] [emoji102]
Aisee we ni shetani au?Si nilisikiaga eti huyu dada alikufaga au..!!![emoji102] [emoji102] [emoji102]