DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 318
- 1,597
Nimeona mabandiko mengi ya haso ya watu tofauti tofauti. Nimegundua namna ya kuhaso ni tofauti kati ya aliyefeli form 4 na aliyemaliza chuo. Aliyefeli form form haso zake ni kama za mtoa mada hapo. Wengi hujaribu kwenye biashara, kilimo na vitu vingine. Na ndo wenye mafanikio sana.
Aliyemaliza chuo haso zake huwa kutafuta kazi. Ukisikia yuko kitaa ana haso usidhan anahaso na ufugaji au kilimo au biashara, anahaso na bahasha barabaran kutafuta kazi. Atataumia 3 years kupata kazi ya mshahara wa laki 5. Wakati huo classment wake wa olevo aliyefeli form 5 ameshatusua.
Nmesema hayo sababu nmemaliza chuo 2013. Haso zangu ni kutafuta kazi had 2015 ndo nikapata. Mshahara ulikua laki 6 take home by then. Baada ya kazi hakuna chochote cha kuhaso labda tuu kuendelea kutafuta kazi nzuri zaidi. Ndo tatzo la kuajiriwa. Ile kuwa na uhakika na mshahara inalemaza. Tunawaza biashara saana kuongeza kipato.. tatzo utekelezaji.