Ni wasanii gani Tanzania wanaoishi maisha ya ukweli kwenye mitandao ya kijamii?

Ni wasanii gani Tanzania wanaoishi maisha ya ukweli kwenye mitandao ya kijamii?

iamwangdamin

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
864
Reaction score
1,798
Ni wasanii gani Tanzania wanaoishi maisha ya ukweli kwenye mitandao ya kijamii? Ni wapi pia ambao wana hadhi ya kuitwa superstars? Manake kila msanii hujiita superstar sijui kwa kutumia vigezo vipi?
 
Subiri wanaofatilia maisha ya wasanii watakujibu
 
Jakaya Kikwete, Wilbod Silaa, Joh Pombe Makufuli,Khalid Chokoraa, Waziri Sonyo, Zahir Ali Zoro, Dr Shein

da Wapo wengi!
 
Yaah ni kweli nimepata hzo story kitaa! anaeishi maisha ya kiuhalisia ni Wema Sepetu
 
no real life insta ni fake life ile ila juma jux anaishi maisha yake haigi mtu wengine wanataka waonekane wanazo kumbe empty kama....
.
...
 
Back
Top Bottom