Ni wasanii gani wa Bongo ambao wameoana na wanaishi pamoja mpaka leo?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Sina kumbukumbu sana kuhusu hili, hivi ni wasanii gani hapa bongo walioana pamoja na wanaishi pamoja mpaka sasa? Naomba kufahamu hao wasanii walioishi kwa pamoja mpaka leo.

Anayejua atujuze
 
Kwakweli Marlaw na Besta wameonesha mfano mzuri.Wameoana 2011 mwezi wa Tatu na mpaka sasa wamebarikiwa kupata watoto wawili wa kiume ambao ni Starence na Erence ambaye kazaliwa mwezi wa nne mwishoni.

duh hii couple inajielewa sana. Wazidi kupendana
 
loading...

Mmmh bado unashindwa kulala haya leo nimemuona Tandale kalala pale kwao kwa zamani oyeeeee furahia basi...katudi Tandale na begi la kikapu...unajisikiabraha sasa kusoma haya au sio.

Habari ndio hiyo....nenda basi kamsalimie mwambie umekaa unamuombe ashuke arudi alipoanza na mitumba usisahau kubeba kumpa ya kuanzia biashara na raba basi atembee vizuri mitaani akiuza nguo.

Umeshakimbilia kuchukua Johnnie Walker kunywa ukisherekea kaanguka...OK bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…