Ni wasanii gani wa Bongo ambao wameoana na wanaishi pamoja mpaka leo?

Ni wasanii gani wa Bongo ambao wameoana na wanaishi pamoja mpaka leo?

Hata Vivian Na Complex i'm sure they could still be 2gether up to this time.

May their souls rest in peace
Oooops! vivian my class mate Themi P/S moja hiyo, may there soul rest in internal peace.
 
Oooops! vivian my class mate Themi P/S moja hiyo, may there soul rest in internal peace.

Alihama toka Uhuru akaja themi tukakutana nae arushasec sikua karibu nae sana lakini alinivutia kujiamini kwake. Na mimi nina mtoto nimemuita vvan.
 
Alihama toka Uhuru akaja themi tukakutana nae arushasec sikua karibu nae sana lakini alinivutia kujiamini kwake. Na mimi nina mtoto nimemuita vvan.
hongera kwa kumuenzi,hakika nyota yake ikionekana toka akiwa primary,lakini ndio tena, vinavyongaa sana huzimika mapema.
 
ingia kwenye account ya zingifuri instagram ukajionee videos za Mr na Mrs Chibu za party ya Zari na walipoimba wifi wifi...nietoka kuziangalia

hadi sasa acc ipo public, hakuna haja ya kutuma request
 
Back
Top Bottom