Aiiibu aibu yako,,.. Hata wewe!!!Daimondi
Peter msechu hapana
Aibu ya nn? [emoji135] kwan swal limeulizaje?Aiiibu aibu yako,,.. Hata wewe!!!
Japo umesema hajui muziki lakini mi hizi ngoma nazikubali sana,Habarini Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki
Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.
Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.
Hao ni:-
1) Tunda man
2) Ney wa Mitego
3) Peter Msechu
Ongezea wengine.
Msechu nmtoe bana ni msanii mzuri sana sema labda umekua bored na lile tumboHabarini Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki
Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.
Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.
Hao ni:-
1) Tunda man
2) Ney wa Mitego
3) Peter Msechu
Ongezea wengine.
Kabisainawezekana hajui.muziki.
apo naona ney tuu
tunda na msechu wanajua.
Usisahau na wale wabana pua huwa wananikera japo sijui kuimbaHabarini Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki
Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.
Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.
Hao ni:-
1) Tunda man
2) Ney wa Mitego
3) Peter Msechu
Ongezea wengine.
masahihisho:Japo umesema hajui muziki lakini mi hizi ngoma nazikubali sana,
1.Tundaman ft. Chid Benz-Neilah
2.Tundaman & JI- Nipe Ripoti
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]tumboooMsechu nmtoe bana ni msanii mzuri sana sema labda umekua bored na lile tumbo