Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Tumekuwa tukisikia wanasiasa fulani wakijisifu kuleta maendeleo kwa kununua ndege na wengine wakikosoa vikali uamuzi huo.
Ukweli unaokubalika kwa makundi yote mawili kuhusu usafiri wa ndege ni kuwa; usafiri wa ndege ni jambo la gharama kubwa na huenda ni mahususi kwa baadhi ya watu tu.
Nimekaa na kujiuliza haya maswali
UKISIKIA UBWEGE NDO HUU, sio lazima kila mtanzania apande ndege wanaoweza watapanda, kama wewe huwezi basi viongozi wako wa chadema na act wanapnda na ushahidi upo.
Hujui kuwa kuna vitu mtu unafanya kama kitegauchumi? Hii ni pamoja na ndegeTumekuwa tukisikia wanasiasa fulani wakijisifu kuleta maendeleo kwa kununua ndege na wengine wakikosoa vikali uamuzi huo.
Ukweli unaokubalika kwa makundi yote mawili kuhusu usafiri wa ndege ni kuwa; usafiri wa ndege ni jambo la gharama kubwa na huenda ni mahususi kwa baadhi ya watu tu.
Nimekaa na kujiuliza haya maswali
1. Usafiri wa ndege hapa Tanzania umelenga kundi gani haswaa la kijamii?
2. Ni Watanzania wangapi wanaweza kumudu kulipia gharama za kusafiri kwa ndege kwa pesa zao kutoka mifukoni mwao?
Ndege zinajaa kila siku, watanzania wengi wa vipato tofauti tofauti tunapanda. Umebaki wewe tu kamanda.Watumiaji wa ndege Tz ni chini ya 1% ya Watanzania.
Huo mtaji midege ungewekezwa katika kilimo leo hii JPM ile agenda ya viwanda 2015 ingekuwa katika pick na std gauge ingesubiriwa kwa hamu na Watanzania kuokoa jam tatizo usafiri bidhaa kilimo toka viwandani na mashambani.
..."mimi sipangiwi..... nipeni wabunge na madiwani ccm nina uwezo kuwadhibiti.."