AiseeeeWakafundishe wapi kwa short course zetu za wiki mbili mbili?
Burundi wametengeneza mfumo mzuri kufundisha makocha. Wanaenda Sana Belgium na France kwenye kozi za kuekeweka na muda wa kutosha. Sio hizi za wakufunzi was CAF waliojichokea.
Rwanda na Burundi Kuna Kiingereza!?Mimi nafikiti kuna shida somewhereMkuu kiufupi hatuna na tatizo ni lugha, lugha ya malkia inasimama kama limiting factor, nimekuwa nikijiuliza hili swali muda mrefi sana, nashukuru umeleta mawazo yaliyoshabihiana na yangu.
Kiufupi hakuna makocha wa kibongo nje!
Japo sisi tuna import sana hasa toka inchi jirani karibu zoote, kenya, uganda, rwanda, burundi, congo, zambia, malawi. Na mbaya zaidi ukienda ktk inchi hizo ni ngumu kukuta kocha mtanzania!!
TUNAKWAMA WAPI??
Nadhani jibu ni kwamba uwezo wa wabongo ni mdogo mno .Rwanda na Burundi Kuna Kiingereza!?Mimi nafikiti kuna shida somewhere
Sababu ziko wazi!Nadhani jibu ni kwamba uwezo wa wabongo ni mdogo mno .