Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Mpira ni Science na profession kama zilizo udaktari, ualimu, uhasibu uinjinia na nyngne nyingi kwahyo kuamini kwenye ngonjera na siasa za hapa na pale hakuta lisaidia Taifa kimpira. Jambo la kufanya ni kuwekeza kwenye facilities na manpower na mifumo thabiti basi, Hizo nyingine zote ni taarabu kama taraabu nyingne.