wachezaji wazawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Responded Miguel Gamondi: Uwepo wa wachezaji 12 wakigeni kwenye Ligi Kuu unapunguza nafasi ya kutosha kwa wachezaji wazawa

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Miguel Gamondi, amesema uwepo wa wachezaji 12 wa kigeni katika Ligi Kuu ya NBC unapunguza nafasi kwa wachezaji wazawa kupata muda wa kucheza na kuendelezwa. Gamondi amesema klabu zinapaswa kutoa nafasi zaidi kwa wachezaji wazawa, akitolea mfano...
  2. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Clement Mzize umemkosea heshima sana wakala wako, wachezaji wazawa ndio mana wengi hawafanikiwi kucheza nje ya nchi

    Kwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa wachezaji wazawa wanazidi kuumbuka Kwa unafiki wao

    Kuna wachambuzi na wanaharakati uchwara waliowalinganisha wachezaji wazawa na wageni Sasa wanaona aibu 1. Mayele vs George Mpole Hapa zilitumika nguvu kubwa kumsifu George Mpole Walitumika hadi waamzi kumfanya Mayele asiwe top scorer, Mayele alidhurimiwa magoli yake Mwisho wa siku Mayele yupo...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho

    Feisal 'Fei Toto' Salum - Azam FC Katika dirisha la usajili la kiangazi Julai 2024, Fei Toto alihusishwa na klabu kubwa Afrika kama Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini, Wydad Athletic Club ya Morocco, pamoja na Simba SC. Hata hivyo, dau lake la TSh bilioni 5.1 (kwa mujibu...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wazawa Simba na Yanga wavae vitambaa vya kupinga Utekaji, upoteaji na mauaji.

    Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo. Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki. Huu ni wakati sahihi wa...
  6. Ibilisi Mjalaana

    JamiiForums Tanzania Ni watu wajinga tu ndo wanaamini kuwa wachezaji wa kigeni ndo tatizo kwa wachezaji wazawa na timu ya taifa

    Mpira ni Science na profession kama zilizo udaktari, ualimu, uhasibu uinjinia na nyngne nyingi kwahyo kuamini kwenye ngonjera na siasa za hapa na pale hakuta lisaidia Taifa kimpira. Jambo la kufanya ni kuwekeza kwenye facilities na manpower na mifumo thabiti basi, Hizo nyingine zote ni taarabu...
Back
Top Bottom