ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Kuna wachambuzi na wanaharakati uchwara waliowalinganisha wachezaji wazawa na wageni Sasa wanaona aibu
1. Mayele vs George Mpole
Hapa zilitumika nguvu kubwa kumsifu George Mpole
Walitumika hadi waamzi kumfanya Mayele asiwe top scorer, Mayele alidhurimiwa magoli yake
Mwisho wa siku Mayele yupo pyramids analipwa million 98 na Sasa Ameingia Finali ya CAFCL who knows labda akawa bingwa Mpole hana Pamba Jiji na anaanzia benchi
2. Aziz ki vs Feisal
Aziz alikuja Yanga, wachambuzi wanafiki wakamhadaa Feisal ati hapati heshima Kwa Aziz analipwa pesa nyingi na uweZo Feisal kamzidi
Sasa Fei yupo Azam hata ubingwa wa Muungano hawapati
Aziz anaenda Wydad Kwa usajali wa billion 2.5
3. Dilunga vs Chama
Waliibuka wanaharakati uchwara wakampigania Dilunga dhidi ya Chama
Sasa Dilunga yupo JKT, Chama yupo top team Young Africans akivuta milion28 Kwa mwezi
4. Kichuya/ Miraj Athman vs Miquison
Hawa walikuwa na kupewa sifa nyingi, mwisho wa siku Kichuya yupo zake JKT na Miraj Athman hana hata timu ya ndondondo
5 Yao vs Kibwana
Wanaharakati walibweka wakimtetea Kibwana, Sasa mbichi na mbivi Iko dhahiri