XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,351
- 7,105
Hiyo heshima waliyokuwa wakipewa ni kwa sababu walionesha kitu uwanjaniMchezaji hapewi tu heshima kwa kuwa ni mzawa.Heshma anaitengeneza uwanjani.
Hiyo heshima waliyokuwa wakipewa ni kwa sababu walionesha kitu uwanjaniMchezaji hapewi tu heshima kwa kuwa ni mzawa.Heshma anaitengeneza uwanjani.
Ni maoni yako na yanaheshimikaHuwezi linganisha mpole na mayele ndugu, mayele ni kitu kingine
Ndo hadi magoli halali yakataliwe?Kipindi kile walikuwa tu wakigombea kiatu nani alisema wanafanana.
George Mpole alikuwa overrated.Hiyo heshima waliyokuwa wakipewa ni kwa sababu walionesha kitu uwanjani
Kwani si ndio soka lenuNdo hadi magoli halali yakataliwe?