Ni watu wajinga tu ndo wanaamini kuwa wachezaji wa kigeni ndo tatizo kwa wachezaji wazawa na timu ya taifa

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Mpira ni Science na profession kama zilizo udaktari, ualimu, uhasibu uinjinia na nyngne nyingi kwahyo kuamini kwenye ngonjera na siasa za hapa na pale hakuta lisaidia Taifa kimpira. Jambo la kufanya ni kuwekeza kwenye facilities na manpower na mifumo thabiti basi, Hizo nyingine zote ni taarabu kama taraabu nyingne.
 
Wapumbavu kweli....wachezaji wageni wanaathri vip national timu ....kwanini wachezaji wazawa wasitoke nje kama kweli wanauwezo .....maisha ya sasa yanataka kujituma kwa bidii sio kubebwa ...wazawa hawajitumi ...Leo hii wachezaji wageni hawafiki hata asilimia 10 unasema tupunguze ......udwanzi tu nadhani imefika hatua tulete hata wachambuzi wa kigeni ili kujenga hoja
 
Habari zimfikie mzabzab
 
Uko vizuri, na hata ukiangalia wachezaji wa Tanzania wenye uwezo wanawapiga benchi wageni kibao. Wachezaji wa Tanzania wajitume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…