Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Hata akishinda,huyu kocha ni mpumbavu sana.Baada ya kufanyiwa mabadiliko dk ya 32 kamaindi live bila chenga na mashabiki pia wameonyesha kucheua live bila chenga.
Katolewa baada ya assist moja.
Kocha ashinde lasivyo patashika
Una wengeMbna Kama kaumia au mm naona tofuti jamaa kaumi kifundo bhna performance ikashinda
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hajaumia huyu kocha ni hajui mpira tukikutana na kina Casablanca tutachezea hamsa kwa hichi kikosiMbna Kama kaumia au mm naona tofuti jamaa kaumi kifundo bhna performance ikashinda
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Rage ana akili sana, sub anafanyia Messi, Mbape, Ronaldo ije kuwa huyo mwenye spidi ya konokonoHii nchi ina watu wajinga sana huyo chama mnaemshupalia shingo atacheza simba milele? lazima tujifunze kuishi bila huyo chama.
Hata Kibu D na Kyombo?Hakuna mchezaji anayependa kufanyiwa sub, wacha wenge..
Simba walishamfanya chama kama mungu wao. Shenzi kabisaRage ana akili sana, sub anafanyia Messi, Mbape, Ronaldo ije kuwa huyo mwenye spidi ya konokono
Tutajifunza akiondoka.Hii nchi ina watu wajinga sana huyo chama mnaemshupalia shingo atacheza simba milele? lazima tujifunze kuishi bila huyo chama.
Ha ha haYaani Simba ni ya kushinda 3-2 na timu ipo nusu kweli???
sub imeleta goliBaada ya kufanyiwa mabadiliko dk ya 32 kamaindi live bila chenga na mashabiki pia wameonyesha kucheua live bila chenga.
Katolewa baada ya assist moja.
Kocha ashinde lasivyo patashika
Utopolo kaa na utaahira wako tuachie Simba yetu.Hii nchi ina watu wajinga sana huyo chama mnaemshupalia shingo atacheza simba milele? lazima tujifunze kuishi bila huyo chama.