Ni wazi Chama Jr triple C kamaindi kufanyiwa sub

Ni wazi Chama Jr triple C kamaindi kufanyiwa sub

Baada ya kufanyiwa mabadiliko dk ya 32 kamaindi live bila chenga na mashabiki pia wameonyesha kucheua live bila chenga.

Katolewa baada ya assist moja.

Kocha ashinde lasivyo patashika
Hata akishinda,huyu kocha ni mpumbavu sana.

Nitashangaa iwapo mashabiki walio uwanjani hawataonesha hasira zao.

Hii timu nadhani inabidi viongozi wote wafukuzwe

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom