Ni wazi Chama Jr triple C kamaindi kufanyiwa sub

Ni wazi Chama Jr triple C kamaindi kufanyiwa sub

Sisi hata kama akiendelea kushinda ila bila kumwamini Chama ni kazi bure na sio Simba tunaitaka
Tunataka hata kama Simba inafungwa Chama awemo uwanjani hapo tutaridhika sio unamfanyia sub dk ya 34 hili halivumuliki hata kidogo
 
Yaani Simba ni ya kushinda 3-2 na timu ipo nusu kweli???
Simba ikiwa pungufu imewahi kuichapa Yanga mara kadhaa, mifano ipo tena wala sio zamani. Mpira ni mchezo wa makosa, unaweza ukawa pungufu na ukafanya makosa machache au yasiyo na madhara au mpinzani wako ashindwe kuyatumia
 
Nikwambie kitu mkuu,ni timu mbovu tu ndio inayoshindwa kuifunga timu iliyo pungufu.

Kwa kawaida timu inayojielewa lazima ilitumie hilo gap vizuri na ipate matokeo chanya.
 
Nikwambie kitu mkuu,ni timu mbovu tu ndio inayoshindwa kuifunga timu iliyo pungufu. Kwa kawaida timu inayojielewa lazima ilitumie hilo gap vizuri na ipate matokeo chanya.
Kwa hiyo ni timu gani hiyo iliyoshindwa kulitumia gap kupata ushindi?
 
Back
Top Bottom