Ni wazi kabisa Arsenal haipo fiti dhidi ya wapinzani wake

Ni wazi kabisa Arsenal haipo fiti dhidi ya wapinzani wake

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Hapa niwe clear kabisa ntaongea reality bila upendeleo, !! Arsenal bado haipo fiti!!
Hebu noja tu tuwafanyie analysis mastriker na goalkeeper, Manchester united bado wanae de gea japo
hatujui kama ataondoka au lah, chelsea wanae coutois na man city wanae hart, Kwa Arsenal yule peter
cech tuliemjua hapo zamani sio huyu aliyenunuliwa maana kacheza chini ya kiwango na kama sijakosea
mourinho alishatambua perfomance yake imepungua akamwacha ajiendee arsenal, Tukija kwenye safu ya ushambuliaji
pale chelsea wanae diego costa pamoja na falcao( Japo falcao sio mzuri kivile ila ni mzuri kuliko giroud), Manchester
united wanae rooney na man city wanae aguero, ukija upande wa arsenal kina giroud, walcot na wilshere licha ya kupata majeruhi bado ni dhahiri na wazi ya kwamba arsenal bado haip fiti pia ukija hata kwa viungo kina wilshere nao ni majeraha kwa mara nyingi
 
Arsenal wanahitaji kocha mpya Sio kipa mpya wala kiungo mpya
 
Weee. Wenyewe ni wakali hawasemwi, we nyamaza tuu uaiharibu hali ya hewa hapa
 
Hii timu inawaumiza sana roho haters, hadi mnaifungulia uzi mwingine? msimu huu na kuendelea kwa taarifa yenu mwendo ni mdundo, tushapita kipindi kigumu.
 
Huyu kashakata tamaa mapema
 

Attachments

  • 1439239868922.jpg
    1439239868922.jpg
    32.4 KB · Views: 84
Back
Top Bottom