🎶 "waliipenda wenyewe tididiii.....watajijua wenyewe tindiiiiii.....chaguo lao wenyewe tindiiiiiii...acha waisome namba eeeh....wasome namba..ccm mbele kwa mbele' 🎵🎶🎶.
Alisikika johnthebaptist akiimba huo wimbo pale lumumba.
Hilo ni jambo la kuwauliza wenye Nchi, kama waliwatuma kuongea hayoHakuna wokovu kabisa, ndiomana nauliza haya wanayo yaongea bungen ni kweli mmewatuma?
Popote ulipo chukua kashata na kikombe cha kahawa talipaHao jamaa wamezidiwa kila kitu na vijiwe vya kahawa kasoro bajeti tu.
Kwani hilo ni Bunge?!
Mkutano wa kamati kuu ya CCM,wageni waalikwa kina Covid 19Hahaha ni nin mkuu?
Mkuu kwenye Siasa hakuna aliembishi kuolewa na mkubwa wake awe mke au mme. Hapo ndipo ninapoichukia Siasa!!Hilo nililolisema naamini kila mmoja wetu humu kama ni mfuatiliaji wa Bunge atakuwa ameliona
1. Hoja za wabunge juu ya kumuongezea rais muda wa uongozi.
Swali fikirishi hapa ni ‘Je, ni kweli hiki ndicho wananchi wa baadhi ya majimbo wanakitaka kutoka kwa wabunge wao?’ Yaani hawataki shule, barabara na maji ila wanataka tu Rais aongezewe muda?? Maana mbunge ni sauti ya wananchi. Au ni wabunge wanajikomba na kukosa chakuongea yaani hawana lamaana ila wamepata nafasi ya kuzungumza?
2. Sifa kwa rais zimekuwa nyingi mpaka zinaudhi.
Kila anayesimama awe Waziri, Mbunge ama Naibu Waziri ataanza na ahsante zilizopitiliza mpaka unaweza jiuliza "hizi sifa ni kweli au unafiki tu?”
3. Nimeumia sana na kauli ya Mbunge aliesema Bungeni ni kutamu na unaweza tamani hata kumwaga damu.
4. Hakuna maswali ya kama ya mabunge yaliyopita, hakuna mijadala migumu, wanaulizana maswali tu ili kutimiza wajibu.
5. Ahsante sana kwa Nape kwa swali na maoni juu ya wafanyabiashara na juu ya njia zinazotumika kukusanya kodi. Nimempa ahsante kwakuwa kajaribu kuhoji na kuchangia vile vitu jamii inataka kusikia.
Wanamsifia unafiki tu. Ila subiri aje atoke madarakani, hakuna mtu ATADHARAULIWA na KUKEJELIWA Kama Magufuli.Hilo nililolisema naamini kila mmoja wetu humu kama ni mfuatiliaji wa Bunge atakuwa ameliona
1. Hoja za wabunge juu ya kumuongezea rais muda wa uongozi.
Swali fikirishi hapa ni ‘Je, ni kweli hiki ndicho wananchi wa baadhi ya majimbo wanakitaka kutoka kwa wabunge wao?’ Yaani hawataki shule, barabara na maji ila wanataka tu Rais aongezewe muda?? Maana mbunge ni sauti ya wananchi. Au ni wabunge wanajikomba na kukosa chakuongea yaani hawana lamaana ila wamepata nafasi ya kuzungumza?
2. Sifa kwa rais zimekuwa nyingi mpaka zinaudhi.
Kila anayesimama awe Waziri, Mbunge ama Naibu Waziri ataanza na ahsante zilizopitiliza mpaka unaweza jiuliza "hizi sifa ni kweli au unafiki tu?”
3. Nimeumia sana na kauli ya Mbunge aliesema Bungeni ni kutamu na unaweza tamani hata kumwaga damu.
4. Hakuna maswali ya kama ya mabunge yaliyopita, hakuna mijadala migumu, wanaulizana maswali tu ili kutimiza wajibu.
5. Ahsante sana kwa Nape kwa swali na maoni juu ya wafanyabiashara na juu ya njia zinazotumika kukusanya kodi. Nimempa ahsante kwakuwa kajaribu kuhoji na kuchangia vile vitu jamii inataka kusikia.
Hapo kwenye No. 5 Hamna jipya kwa sababu upinzani muhula wa kwanza walipiga kelele sana kuhusu hilo Nape ni kama karudia kwani mitano ya kwanza alikua wapi !!!???Hilo nililolisema naamini kila mmoja wetu humu kama ni mfuatiliaji wa Bunge atakuwa ameliona
1. Hoja za wabunge juu ya kumuongezea rais muda wa uongozi.
Swali fikirishi hapa ni ‘Je, ni kweli hiki ndicho wananchi wa baadhi ya majimbo wanakitaka kutoka kwa wabunge wao?’ Yaani hawataki shule, barabara na maji ila wanataka tu Rais aongezewe muda?? Maana mbunge ni sauti ya wananchi. Au ni wabunge wanajikomba na kukosa chakuongea yaani hawana lamaana ila wamepata nafasi ya kuzungumza?
2. Sifa kwa rais zimekuwa nyingi mpaka zinaudhi.
Kila anayesimama awe Waziri, Mbunge ama Naibu Waziri ataanza na ahsante zilizopitiliza mpaka unaweza jiuliza "hizi sifa ni kweli au unafiki tu?”
3. Nimeumia sana na kauli ya Mbunge aliesema Bungeni ni kutamu na unaweza tamani hata kumwaga damu.
4. Hakuna maswali ya kama ya mabunge yaliyopita, hakuna mijadala migumu, wanaulizana maswali tu ili kutimiza wajibu.
5. Ahsante sana kwa Nape kwa swali na maoni juu ya wafanyabiashara na juu ya njia zinazotumika kukusanya kodi. Nimempa ahsante kwakuwa kajaribu kuhoji na kuchangia vile vitu jamii inataka kusikia.
Hapo kwenye No. 5 Hamna jipya kwa sababu upinzani muhula wa kwanza walipiga kelele sana kuhusu hilo Nape ni kama karudia kwani mitano ya kwanza alikua wapi !!!???
Bunge hili ni kama Futuhi tu ya kina Braza K hamna Bunge humo [emoji849][emoji849][emoji849]
Mkuu Wewe ulichagua wa aina hiyo?sawa mkuu, tuwaachie nchi yao. maana hatuhusiki kumchagua
Bange!!!!Hahaha ni nin mkuu?