Ni wazi kuwa baadhi ya Wabunge wamekosa sera au waliingia Bungeni bila kujua wajibu wao

Nguvu ya Nchi iko kwenye uchumi, na hapo mpaka sasa wameshindwa, sasa uokovu uko wapi?

Hakuna wokovu kabisa, ndiomana nauliza haya wanayo yaongea bungen ni kweli mmewatuma?
 
Nakupongeza kwa kufuatilia hilo bunge kibogoyo.

Ahsante, kuna wakati inabidi usikilize tuu. mfano mambo ya bajeti ni muhimu maana yanaweza kukupa mwanga ni aina gan ya biashara bajet husika imeweka.
 
🎶 "waliipenda wenyewe tididiii.....watajijua wenyewe tindiiiiii.....chaguo lao wenyewe tindiiiiiii...acha waisome namba eeeh....wasome namba..ccm mbele kwa mbele' 🎵🎶🎶.

Alisikika johnthebaptist akiimba huo wimbo pale lumumba.

Sina namba tulisha zisoma awamu iliyopita lakin, na wote tukili tumeelewa au?
 
Hilo nililolisema naamini kila mmoja wetu humu kama ni mfuatiliaji wa Bunge atakuwa ameliona

1. Hoja za wabunge juu ya kumuongezea rais muda wa uongozi.

Swali fikirishi hapa ni ‘Je, ni kweli hiki ndicho wananchi wa baadhi ya majimbo wanakitaka kutoka kwa wabunge wao?’ Yaani hawataki shule, barabara na maji ila wanataka tu Rais aongezewe muda?? Maana mbunge ni sauti ya wananchi. Au ni wabunge wanajikomba na kukosa chakuongea yaani hawana lamaana ila wamepata nafasi ya kuzungumza?

2. Sifa kwa rais zimekuwa nyingi mpaka zinaudhi.

Kila anayesimama awe Waziri, Mbunge ama Naibu Waziri ataanza na ahsante zilizopitiliza mpaka unaweza jiuliza "hizi sifa ni kweli au unafiki tu?”

3. Nimeumia sana na kauli ya Mbunge aliesema Bungeni ni kutamu na unaweza tamani hata kumwaga damu.

4. Hakuna maswali ya kama ya mabunge yaliyopita, hakuna mijadala migumu, wanaulizana maswali tu ili kutimiza wajibu.

5. Ahsante sana kwa Nape kwa swali na maoni juu ya wafanyabiashara na juu ya njia zinazotumika kukusanya kodi. Nimempa ahsante kwakuwa kajaribu kuhoji na kuchangia vile vitu jamii inataka kusikia.
Mkuu kwenye Siasa hakuna aliembishi kuolewa na mkubwa wake awe mke au mme. Hapo ndipo ninapoichukia Siasa!!
 
Wanamsifia unafiki tu. Ila subiri aje atoke madarakani, hakuna mtu ATADHARAULIWA na KUKEJELIWA Kama Magufuli.

Sasa hivi hata vyombo vya habari haviko huru kumkosoa
 
Hilo nililolisema naamini kila mmoja wetu humu kama ni mfuatiliaji wa Bunge atakuwa ameliona

1. Hoja za wabunge juu ya kumuongezea rais muda wa uongozi.

Swali fikirishi hapa ni ‘Je, ni kweli hiki ndicho wananchi wa baadhi ya majimbo wanakitaka kutoka kwa wabunge wao?’ Yaani hawataki shule, barabara na maji ila wanataka tu Rais aongezewe muda?? Maana mbunge ni sauti ya wananchi. Au ni wabunge wanajikomba na kukosa chakuongea yaani hawana lamaana ila wamepata nafasi ya kuzungumza?

2. Sifa kwa rais zimekuwa nyingi mpaka zinaudhi.

Kila anayesimama awe Waziri, Mbunge ama Naibu Waziri ataanza na ahsante zilizopitiliza mpaka unaweza jiuliza "hizi sifa ni kweli au unafiki tu?”

3. Nimeumia sana na kauli ya Mbunge aliesema Bungeni ni kutamu na unaweza tamani hata kumwaga damu.

4. Hakuna maswali ya kama ya mabunge yaliyopita, hakuna mijadala migumu, wanaulizana maswali tu ili kutimiza wajibu.

5. Ahsante sana kwa Nape kwa swali na maoni juu ya wafanyabiashara na juu ya njia zinazotumika kukusanya kodi. Nimempa ahsante kwakuwa kajaribu kuhoji na kuchangia vile vitu jamii inataka kusikia.
Hapo kwenye No. 5 Hamna jipya kwa sababu upinzani muhula wa kwanza walipiga kelele sana kuhusu hilo Nape ni kama karudia kwani mitano ya kwanza alikua wapi !!!???

Bunge hili ni kama Futuhi tu ya kina Braza K hamna Bunge humo [emoji849][emoji849][emoji849]
 
hana jipya kweli aisee, ila nimempa hongera kwa kigezo cha angalau ni hoja tunazotak zisikia. sio za miaka mingine kila wakati
 
Mkuu hilo la wabunge kutojua wajibu wao halijaanza leo, ndo maana unaona kuna mafudu tu yanafanyika pale bungeni.
 
Shamba la bwana Heri na mbuzi waliopo shambani ni wa bwana Heri...
 
Back
Top Bottom