NI WAZI KUWA NDENGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS ILIANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE.

NI WAZI KUWA NDENGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS ILIANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE.

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Rais wa Malawi ametangaza rasmi kupatikana kwa mabaki ya ndege na abiria wake wote wakiwa wamefariki.
IMG_20240611_140001.jpg
 
Wiki mbili zilizopita makamu wa rais wa Malawi Dr. Chilima alifutiwa kesi iliyokuwa ikimkabili ya kupokea rushwa kutoka kwa mfanyabiashara wa kiasia, na katikati ya wiki iliyopita alihudhuri as mkutano huko Korea ambao ulihudhuriwa pia na Dr. Samia.
Jana alikuwa ahudhurie maziko ya mwanasheria Dr. Kasambara huko Mzuzu ambapo ndege ilishindwa kutua kutokana na ukungu hivyo kulazimika iende kutua Lilongwe ilikotoka, hata hivyo haikuweza kufanya hivyo ambapo ilitoweka.
 
Pamoja na makamu wa rais alikuwemo First Lady wa enzi za rais Dr. Bakili Muluzi.
 
Back
Top Bottom