NI WAZI KUWA NDENGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS ILIANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE.

Wiki mbili zilizopita makamu wa rais wa Malawi Dr. Chilima alifutiwa kesi iliyokuwa ikimkabili ya kupokea rushwa kutoka kwa mfanyabiashara wa kiasia, na katikati ya wiki iliyopita alihudhuri as mkutano huko Korea ambao ulihudhuriwa pia na Dr. Samia.
Jana alikuwa ahudhurie maziko ya mwanasheria Dr. Kasambara huko Mzuzu ambapo ndege ilishindwa kutua kutokana na ukungu hivyo kulazimika iende kutua Lilongwe ilikotoka, hata hivyo haikuweza kufanya hivyo ambapo ilitoweka.
 
Pamoja na makamu wa rais alikuwemo First Lady wa enzi za rais Dr. Bakili Muluzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…