Ni wazi kuwa utawala wa Gamondi na Pep Guardiola umefikia tamati

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Kuna mchezaji anaitwa Offen Chikola apewe maua yake. Shooting accuracy yake ipo juu mno.
 
Yanga inafungwajeee
Sidhani kama harmonize alimaanisha Yanga haitofungwa.

Kwamba harmonize hajui kwamba hakuna timu isiyofungwa duniani!

Huo ni wimbo tu kama nyimbo nyingine za mashabiki kuzipamba timu zao sidhani kama ni kiburi.
 
Gamondi ni kocha wa kawaida sana ila aliikuta timu ipo kwenye high performance hakuna alichoongeza zaidi ya kula matunda aliyoyakuta.

Ila Guardiola yule ni mwamba usimu-underrate kwa mechi mbili tatu ni kawaida yake kusua sua mechi mechi chake ila baada ya hapo anaweza kushinda hata game 40 mfululizo
 
Tatizo ni majeruhi, timu zote mbili zina majeruhi wanaoicost team...
 
Kachezea tena kwa brighton
 
We Acha kuchanganya uchawi na Mpira koma kabisa! eti yanga na man city!akili Hana nae
Sidhani kama harmonize alimaanisha Yanga haitofungwa.

Kwamba harmonize hajui kwamba hakuna timu isiyofungwa duniani!

Huo ni wimbo tu kama nyimbo nyingine za mashabiki kuzipamba timu zao sidhani kama ni kiburi.
akili Hana nae ndondocha wa chitoholi huwezi imba wimbo kama ule km zinapanda fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…