hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Sioni shida ya wimbo wake.akili Hana nae ndondocha wa chitoholi huwezi imba wimbo kama ule km zinapanda fresh
Ni wimbo tu kama nyimbo nyingi za wasanii kusifia timu zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni shida ya wimbo wake.akili Hana nae ndondocha wa chitoholi huwezi imba wimbo kama ule km zinapanda fresh
Mbona wao wanao Anauoiga mwingi mnyama na wakafungwa 5 hawakuacha kuimba..Sidhani kama harmonize alimaanisha Yanga haitofungwa.
Kwamba harmonize hajui kwamba hakuna timu isiyofungwa duniani!
Huo ni wimbo tu kama nyimbo nyingine za mashabiki kuzipamba timu zao sidhani kama ni kiburi.
Kabisa.Mbona wao wanao Anauoiga mwingi mnyama na wakafungwa 5 hawakuacha kuimba..
Wa kimataifa mnyama wakapigwa kimataifa huko ila hawakuacha kuimba..
Hizo ni nyimbo tu ! Yani mashabiki wa Simba sijui ilikua inawauma hio nyimbo mana wameishupalia sana
Unasemaje?Sasa Yanga inatoa wapi kiburi embu acheni masihara basi? Yaani kufika nusu confi na robo champ ndo tayari mpo kundi moja na city? Au ni kipigo kimeingia mpaka kichwani?
Umemaliza kila kitu yaani case closed.Gamondi ni kocha wa kawaida sana ila aliikuta timu ipo kwenye high performance hakuna alichoongeza zaidi ya kula matunda aliyoyakuta.
Ila Guardiola yule ni mwamba usimu-underrate kwa mechi mbili tatu ni kawaida yake kusua sua mechi mechi chake ila baada ya hapo anaweza kushinda hata game 40 mfululizo
Taifa gasTaifa lipi?
Taifa gasTaifa lipi?