Ni wazi kuwa utawala wa Gamondi na Pep Guardiola umefikia tamati

Sidhani kama harmonize alimaanisha Yanga haitofungwa.

Kwamba harmonize hajui kwamba hakuna timu isiyofungwa duniani!

Huo ni wimbo tu kama nyimbo nyingine za mashabiki kuzipamba timu zao sidhani kama ni kiburi.
Mbona wao wanao Anauoiga mwingi mnyama na wakafungwa 5 hawakuacha kuimba..
Wa kimataifa mnyama wakapigwa kimataifa huko ila hawakuacha kuimba..
Hizo ni nyimbo tu ! Yani mashabiki wa Simba sijui ilikua inawauma hio nyimbo mana wameishupalia sana
 
Kabisa.

Wameukomalia sana huo wimbo wakati hauna tatizo lolote.

Tuwasamehe tu ndugu zetu makolo.

Kufungwa mara 4 mfululizo na mpinzani wako sio jambo dogo.

Lazima likuache na maumivu moyoni.
 
Sasa Yanga inatoa wapi kiburi embu acheni masihara basi? Yaani kufika nusu confi na robo champ ndo tayari mpo kundi moja na city? Au ni kipigo kimeingia mpaka kichwani?
Unasemaje?
 
Reactions: Tsh
Umemaliza kila kitu yaani case closed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…