Hata mm sijawahi kuona, kusikiaa wala kudhania kuwa Kigwangala ni mbunge machachari.Ukiona mtu anajiita mwenyewe eti nilikuwa mbunge machachali! Ujue ujinga tu. Unajiita mwenyewe machachali badala watu wa nje wanaokuona ndio wakuite hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm sijawahi kuona, kusikiaa wala kudhania kuwa Kigwangala ni mbunge machachari.Ukiona mtu anajiita mwenyewe eti nilikuwa mbunge machachali! Ujue ujinga tu. Unajiita mwenyewe machachali badala watu wa nje wanaokuona ndio wakuite hivyo?
Kigwangala anapenda sana kujivisha sifa asizokuwa nazo,Ukiona mtu anajiita mwenyewe eti nilikuwa mbunge machachali! Ujue ujinga tu. Unajiita mwenyewe machachali badala watu wa nje wanaokuona ndio wakuite hivyo?
Toka miaka yooote Wabunge hasa hao wa sisiemu kazi yao ndio hiyo wala hawajaanza leo na si vinginevyo halafu eti wewe hilo umelitambua juzi!Ndugu mnafiki kwanini unauliza?
Kwangu mimi zilikuwa ni tuhuma zaidi. Ila Kigwangallah kathibitisha pasi na shaka kuwa ndo wanachokifanya.Toka miaka yooote Wabunge hasa hao wa sisiemu kazi yao ndio hiyo wala hawajaanza leo na si vinginevyo halafu eti wewe hilo umelitambua juzi!
Kwa nini nisikuulize umri wako ili usijefikiri nimeshusha hadhi yako ndugu?
Kigwangala ni mpuuziSoma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili.
============================
Mhe. Jenista Mhagama; I’ve got too much love and respect for this big siste. Nilipokuaga Mbunge kijana machachari huyu dada alikuwa Katibu wa Wabunge wote wa CCM, kwa Kipindi hicho kanuni zilikuwa zinampa mamlaka ya kuwa ‘mnadhimu’ (chief whip) wa Wabunge wote wa CCM. Ilikuwa nafasi nyeti na nzito sana hapa Bungeni. Ni mdada mwenye roho nzuri sana, nyeupe isiyo na chembe ya chuki wala kinyongo.
Kipindi hicho Wabunge wa CCM tulikuwa wakorofi sana na tuliwasumbua sana serikali, kiukweli tulienjoy mamlaka ya kuwa Wabunge!
Dada huyu, Mhe. Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, kwa nafasi yake alikuwa busy kutudhibiti tusiwasurubu serikali bungeni. Basi akiona jina langu tu kwenye list ya wachangiaji anakuja kutaka kujua ntachangia nini na kushauri tuwe fair kwa serikali yetu! The way she was humble, basi atakuomba mpaka anataka kupiga magoti. Kwa mamlaka yake angeweza kukuita maadili ama kukupa vitisho, lakini yeye alijenga urafiki kwa ku-negotiate na kushauri zaidi.
Nimekutana na kufanya kazi na watu wengi na nimewaona wachache sana walio fair na understanding kama huyu dada. Kuna wengine walituita maadili kwa vitu vidogo sana mpaka unashangaa! Siyo Jenista. Huyu alitujenga kwenye mitazamo na misimamo yetu ya kisiasa, alitusogeza kirafiki akatujua na baadaye akatutumia kuisaidia serikali na chama chetu bungeni.
TAKE HOME: Ukipata madaraka makubwa sana juu ya wenzako, wajenge, waelewe, usiwasababishie ajali! Watu watakukumbuka kwa namna ulivyowafanya kujisikia.
Mimi wa enzi hizi za Jenista sikuwa na chembe ya uoga wala understanding, nilikuwa na energy kubwa sana ya kufanya siasa, misimamo mikali na ambitions kubwa mno; Hakuna ambaye angeweza kunitishia kwa lolote lile, maana nilikuwa tayari tayari. Busara za Jenista na upendo wake contained my energy and transformed the younger me.
Nakumbuka siku moja nilikuwa napiga Waziri Ngeleja wamama Mhe. Jenista, Mhe. Mariam Kisanji na wengine wakaja kwa kuinama kwa chini chini na kuniomba basi inatosha baba! Inatosha baba! 😀 Nikaamua kukatisha hotuba yangu nikakaa. #HK #Fighter #NjeYaBox #SiasaNiVitendo
Loges alishasema tangu zamani yeye akiwa Bungeni anatetea Tumbo lake kwanza lijae ndio atawasemea wengine. !Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili.
============================
Mhe. Jenista Mhagama; I’ve got too much love and respect for this big siste. Nilipokuaga Mbunge kijana machachari huyu dada alikuwa Katibu wa Wabunge wote wa CCM, kwa Kipindi hicho kanuni zilikuwa zinampa mamlaka ya kuwa ‘mnadhimu’ (chief whip) wa Wabunge wote wa CCM. Ilikuwa nafasi nyeti na nzito sana hapa Bungeni. Ni mdada mwenye roho nzuri sana, nyeupe isiyo na chembe ya chuki wala kinyongo.
Kipindi hicho Wabunge wa CCM tulikuwa wakorofi sana na tuliwasumbua sana serikali, kiukweli tulienjoy mamlaka ya kuwa Wabunge!
Dada huyu, Mhe. Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, kwa nafasi yake alikuwa busy kutudhibiti tusiwasurubu serikali bungeni. Basi akiona jina langu tu kwenye list ya wachangiaji anakuja kutaka kujua ntachangia nini na kushauri tuwe fair kwa serikali yetu! The way she was humble, basi atakuomba mpaka anataka kupiga magoti. Kwa mamlaka yake angeweza kukuita maadili ama kukupa vitisho, lakini yeye alijenga urafiki kwa ku-negotiate na kushauri zaidi.
Nimekutana na kufanya kazi na watu wengi na nimewaona wachache sana walio fair na understanding kama huyu dada. Kuna wengine walituita maadili kwa vitu vidogo sana mpaka unashangaa! Siyo Jenista. Huyu alitujenga kwenye mitazamo na misimamo yetu ya kisiasa, alitusogeza kirafiki akatujua na baadaye akatutumia kuisaidia serikali na chama chetu bungeni.
TAKE HOME: Ukipata madaraka makubwa sana juu ya wenzako, wajenge, waelewe, usiwasababishie ajali! Watu watakukumbuka kwa namna ulivyowafanya kujisikia.
Mimi wa enzi hizi za Jenista sikuwa na chembe ya uoga wala understanding, nilikuwa na energy kubwa sana ya kufanya siasa, misimamo mikali na ambitions kubwa mno; Hakuna ambaye angeweza kunitishia kwa lolote lile, maana nilikuwa tayari tayari. Busara za Jenista na upendo wake contained my energy and transformed the younger me.
Nakumbuka siku moja nilikuwa napiga Waziri Ngeleja wamama Mhe. Jenista, Mhe. Mariam Kisanji na wengine wakaja kwa kuinama kwa chini chini na kuniomba basi inatosha baba! Inatosha baba! 😀 Nikaamua kukatisha hotuba yangu nikakaa. #HK #Fighter #NjeYaBox #SiasaNiVitendo
Iko vile bandugu miaka yote !!Kwangu mimi zilikuwa ni tuhuma zaidi. Ila Kigwangallah kathibitisha pasi na shaka kuwa ndo wanachokifanya.
Jijue, jiamini na kuwa na uhakika na jinsi ulivyo hapo ndipo watu wengine watakuamini na kukusifia.Ukiona mtu anajiita mwenyewe eti nilikuwa mbunge machachali! Ujue ujinga tu. Unajiita mwenyewe machachali badala watu wa nje wanaokuona ndio wakuite hivyo?