Ni wazi kuwa wabunge wa CCM wapo kuitetea serikali na sio kuisimamia na kuikosoa. Mbunge Kigwagala kaweka wazi

Ukiona mtu anajiita mwenyewe eti nilikuwa mbunge machachali! Ujue ujinga tu. Unajiita mwenyewe machachali badala watu wa nje wanaokuona ndio wakuite hivyo?
Hata mm sijawahi kuona, kusikiaa wala kudhania kuwa Kigwangala ni mbunge machachari.
 
Ukiona mtu anajiita mwenyewe eti nilikuwa mbunge machachali! Ujue ujinga tu. Unajiita mwenyewe machachali badala watu wa nje wanaokuona ndio wakuite hivyo?
Kigwangala anapenda sana kujivisha sifa asizokuwa nazo,
 
Ndugu mnafiki kwanini unauliza?
Toka miaka yooote Wabunge hasa hao wa sisiemu kazi yao ndio hiyo wala hawajaanza leo na si vinginevyo halafu eti wewe hilo umelitambua juzi!

Kwa nini nisikuulize umri wako ili usijefikiri nimeshusha hadhi yako ndugu?
 
Kwangu mimi zilikuwa ni tuhuma zaidi. Ila Kigwangallah kathibitisha pasi na shaka kuwa ndo wanachokifanya.
 
Kigwangala ni mpuuzi
 
Loges alishasema tangu zamani yeye akiwa Bungeni anatetea Tumbo lake kwanza lijae ndio atawasemea wengine. !
Kumbe Mkuu ulikuwa hujui mambo hayo ??!!
 
Ukiona mtu anajiita mwenyewe eti nilikuwa mbunge machachali! Ujue ujinga tu. Unajiita mwenyewe machachali badala watu wa nje wanaokuona ndio wakuite hivyo?
Jijue, jiamini na kuwa na uhakika na jinsi ulivyo hapo ndipo watu wengine watakuamini na kukusifia.

Kuna msemo, 'Raha jipe mwenyewe'
Ninapenda sana watu wanaojiamini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…