Pre GE2025 Ni wazi Mchengerwa ambaye ndiye anapanga Safu ya Wasimamizi wa Uchaguzi mkuu wa 2025 amemzidi sana Mbowe wa Chadema Kimbinu na Kimkakati!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo ya kupeana Wabunge siyo CCM hii ya Makalla na Dr Nchimbi

Labda Katibu mkuu awe Dr Mwigullu PhD na mwenezi January Makamba
Chadema wasikubali kabisa kuingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila kauli yao ya no reforms no election,wakiingia watakuwa wajinga sana yatatokea tena ya uchaguz wa serikali za mitaa wa mwaka 2024,baada ya uchaguz wanaanza kutoa matamko ya ajabu ,apite Mbowe au Lisu no reforms no election wasiikiuke kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…