Mkuu, ukipitia tu mijadala ya humu ndani (JF) utatambua kuwa TAL ndio dawa haswa la watu wako.Lisu ndio mwepesi zaidi 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ukipitia tu mijadala ya humu ndani (JF) utatambua kuwa TAL ndio dawa haswa la watu wako.Lisu ndio mwepesi zaidi 😂
Chadema wasikubali kabisa kuingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila kauli yao ya no reforms no election,wakiingia watakuwa wajinga sana yatatokea tena ya uchaguz wa serikali za mitaa wa mwaka 2024,baada ya uchaguz wanaanza kutoa matamko ya ajabu ,apite Mbowe au Lisu no reforms no election wasiikiuke kabisaHiyo ya kupeana Wabunge siyo CCM hii ya Makalla na Dr Nchimbi
Labda Katibu mkuu awe Dr Mwigullu PhD na mwenezi January Makamba