Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Nadhani kichwa kisomeke,...bila vyombo vya dola....Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo.
Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM anaweza kuweka kifua mbele kuwa ameshinda.
Hapa inaelekea ni serikali ilikuwa inajipigia debe, inateka na kuzima wamanchi.
CCM kwa sasa si chama chenye ushawishi unaoeleweka.
Yaweza kuwa?CCM ni chama cha serikali, mapolisi, jeshi na wafanyakazi wachache wenye vyeo vya juu serikalini.
Kwa hiyo ni kweli serikali ilijipigia debe uchaguzi huuCCM ndio serikali bila CCM hakuna Serikali
Na ilijipigia kura na kujitangaza mshindi na kujiapisha...serikali ni watu ila watu sio serikaliKwa hiyo ni kweli serikali ilijipigia debe uchaguzi huu
!
Chama dola hicho...CCM ni chama cha serikali, mapolisi, jeshi na wafanyakazi wachache wenye vyeo vya juu serikalini.
Chama-serikali kinajinadi, kinaondoa wapinzani wote, kinafunga wakosoaji, ni mwisho kinajichagua.Na ilijipigia kura na kujitangaza mshindi na kujiapisha...serikali ni watu ila watu sio serikali