900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Jiwe utawala wake umeisha ndani ya miaka hii 5 hatapata tena uraisi hata alazimishe kiasi ganiCCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao
Aanze basi kuwa mwangalifu asije akavunjwa mguu kabla ya kampeni kuanza.Siasa ni sayansi.
Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu.
Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya mazungumzo ya kina.
Hivyo Mwenyekiti na makamu wake pamoja na waziri kivuli wa Utalii wakati Nyalandu akiwa Waziri wa Utalii wameshakamilisha awamu ya kwanza ya kumpitisha Lazaro kiaina.
Sasa atasubiriwa mgombea wa ACT Wazalendo ili apimane ubavu na huyu wa Chadema kisha apitishwe mmoja atakayewakilisha muungano wao.
Maendeleo hayana vyama!
una maanisha nini??au jiwe ataenda kwa mizimu ya babu zake!!CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao
Hapana atawaachia lichama lao ameshawastukia kuwa hata sifa wanazompa ni kukidhi matakwa ya matumbo yao. Mjomba ni mjanja usimuone hivyouna maanisha nini??au jiwe ataenda kwa mizimu ya babu zake!!
Mkuu naona ghafla umegeuka mpira ramli...Siasa ni sayansi.
Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu.
Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya mazungumzo ya kina.
Hivyo Mwenyekiti na makamu wake pamoja na waziri kivuli wa Utalii wakati Nyalandu akiwa Waziri wa Utalii wameshakamilisha awamu ya kwanza ya kumpitisha Lazaro kiaina.
Sasa atasubiriwa mgombea wa ACT Wazalendo ili apimane ubavu na huyu wa Chadema kisha apitishwe mmoja atakayewakilisha muungano wao.
Maendeleo hayana vyama!
Kweli CCM ni kiboko..hadi kufikia hatua ya kusema kumbe Yesu tunaishi naye hapa Tanzania...!! Tunahangaika wee kupiga magotii kumbe hayupo mbali nasi!!