Uchaguzi 2020 Ni wazi Tundu Lissu atajitoa na kumuunga mkono Nyalandu mchungaji Msigwa atarejea kwa Kasesela kutetea Ubunge

Siasa ni sayansi.

Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu.

Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya mazungumzo ya kina.

Hivyo Mwenyekiti na makamu wake pamoja na waziri kivuli wa Utalii wakati Nyalandu akiwa Waziri wa Utalii wameshakamilisha awamu ya kwanza ya kumpitisha Lazaro kiaina.

Sasa atasubiriwa mgombea wa ACT Wazalendo ili apimane ubavu na huyu wa Chadema kisha apitishwe mmoja atakayewakilisha muungano wao.

Maendeleo hayana vyama!
Aanze basi kuwa mwangalifu asije akavunjwa mguu kabla ya kampeni kuanza.
 
una maanisha nini??au jiwe ataenda kwa mizimu ya babu zake!!
Hapana atawaachia lichama lao ameshawastukia kuwa hata sifa wanazompa ni kukidhi matakwa ya matumbo yao. Mjomba ni mjanja usimuone hivyo
 
Lissu hatarudi Tz kirahisi maana anahofia Dola hivyo nakubaliana na mleta mada... inawezekana ni mpango wa kumsupoti Nyalandu...
 
Siasa ni sayansi.

Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu.

Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya mazungumzo ya kina.

Hivyo Mwenyekiti na makamu wake pamoja na waziri kivuli wa Utalii wakati Nyalandu akiwa Waziri wa Utalii wameshakamilisha awamu ya kwanza ya kumpitisha Lazaro kiaina.

Sasa atasubiriwa mgombea wa ACT Wazalendo ili apimane ubavu na huyu wa Chadema kisha apitishwe mmoja atakayewakilisha muungano wao.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu naona ghafla umegeuka mpira ramli...
 
Back
Top Bottom