Ni Waziri gani wa Mambo ya Nje wa Marekani ni Maarufu kwa Watanzania kati ya hawa?

Ni Waziri gani wa Mambo ya Nje wa Marekani ni Maarufu kwa Watanzania kati ya hawa?

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
1,770
Reaction score
5,423
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo

Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?
 
Swali la kijinga na utakua hauko sawa kiakili,swali hilo linatukwamuaje kiuchumi?,bastard
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.John Kerry
5.Hillary Rodham Clinton
6.Rex Tellerson
7. Mike Pompeo

Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzani na unadhani ni maarufu kwa lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo

Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzani na unadhani ni maarufu kwa lipi?
Mike Pompeo ! Baada ya kumtwanga US entry ban huyu mpuuzi Mamkonda !
 
Swali la kijinga na utakua hauko sawa kiakili,swali hilo linatukwamuaje kiuchumi?,bastard

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hasira Ndugu yangu umesahau yale maswali tuliyokuwaga tukiulizwaga shule za msingi kama vile Rais wa Kwanza wa Ghana ni............ (a) Paulo Makonda (b) Kwame Nkrumah (c) Diamond Platinums .Sasa Maswali hayo yalikuwa yanatusaidiaje kiuchumi?
 
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo

Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?
Collin Powell ‘mnyama’ sisi wafuasi wa Saddam Hussain tunamkumbuka sana. Wafuasi wa Bashite watamkumbuka sana Mike Pompeo.
 
Colling Power kwa kudanganya dunia kuwa Saddam Hussein ana silaha za maangamizi
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo

Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilary Clinton kwanza alikanyaga Tanzania na akazungumzia dowans mwisho wa siku akamleta Obama na bush wakakutana ndani ya bongo
 
Back
Top Bottom