Ni Waziri gani wa Mambo ya Nje wa Marekani ni Maarufu kwa Watanzania kati ya hawa?

Ni Waziri gani wa Mambo ya Nje wa Marekani ni Maarufu kwa Watanzania kati ya hawa?

Adjustments.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo

Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?
Hakuna hata moja, wote walikuwa wanatetea maslahi ya USA. Why on earth would you like another foreign minister to be popular in Tanzania?
 
Mike Pompeo kwa kumpiga ban yule bingwa wa kuwanyima watu haki ya kuishi
 
Henry Kissinger , ngoja vijana tuwspe historia kidogo tu .Alipokuwa Dar es salaam 1980's akashuka uwanja wa ndege atapanda gari kuelekea magogoni alipofika clock tower akauliza how many kilometres to Dar es salaam ? . Wakati mapimbi wanajua Dar ndio bonge ya mji lakini yeye alijua hawajafika bado wapo vijijini kumbe Yuko katikati ya Dar , Sasa hivi kitovu Cha jiji la uchumi wa kati uchwara wa Lumumba .
 
kuanzia 5 kipindi chao ndio watanganyika wengi walianza kumiliki tv na radio
 
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo

Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?
Pengine inategemea na umri wa wanaJF lakini kwa baadhi tuliobahatika kuviona vipindi vyote vya mawaziri Hawa hakuna anayeweza kumfikia Henry Kissinger....kwangu Mimi anayefuatia ni Condolleeza Rice...Hawa walikuwa ni wasomi....siyo wa mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom